Makapuku Forum

Hahahaha...na shkamoo unazopokea kila leo. Nikajua wewe ni mkongwe kumbe bado una muda wa kutosha kula mema ya nnchi...teh teh teh
 

...mimi ndo naweza hata kuanzisha vita kwa ajili yako. Wewe hata kama unahisia tu kuwa kuna mtu anataka kukuonea nijulishe nitoe onyo la kufungia mwaka.
Namshukuru sana mjomba kwa kukupata wewe kwa bahati mbaya
 
Love you more sweetheart.... Wewe ni zaidi ya ndugu, mtu ambaye nimekuwa wa kwanza kukulilia na ukanielewa na ukanifariji!!! Love you babe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…