TGIF
Leo nimedhamini magazeti, yasomeni kistaarabu, usinyofoe kurasa za katikati. Mind you, haya ni magazeti ya jumuiya, sio unavaa Hadi miwani kuyasoma.
Asante
shululu kwa kunipa heshma adhimu.
BH , umeamka salama mama!?
Wengine wote tuwe na wakati mzuri leo, don't work so hard it's furahiday.
Anko, vipi ulifanikiwa kumpatia CM dhamana?