Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Pendaneni tu hakuna namna ingine ujue me kapuku kama nipo single nikija huku kila mtu na babe wake nikienda upande ule mtu na bae wake kwahiyo me sasa hivi nimekuwa mpenzi mtazamajiNakupenda kwelikweli![]()
![]()
![]()
![]()
AbeeehShemu lakee
Asante shemelaNawe pia shemela
Bhas mrudisheee baba dPendaneni tu hakuna namna ingine ujue me kapuku kama nipo single nikija huku kila mtu na babe wake nikienda upande ule mtu na bae wake kwahiyo me sasa hivi nimekuwa mpenzi mtazamaji
Uko poaaAbeeeh
Pendaneni tu hakuna namna ingine ujue me kapuku kama nipo single nikija huku kila mtu na babe wake nikienda upande ule mtu na bae wake kwahiyo me sasa hivi nimekuwa mpenzi mtazamaji

Hivi naanzaje acha tu mara mia alivyoamua kujitoaBhas mrudisheee baba d
Kweli nimekuwa mpenzi mtazamaji
Lakini una kiben 10 kinakupendaaHivi naanzaje acha tu mara mia alivyoamua kujitoa
Nakionaa kiben 10 kikiwinKweli nimekuwa mpenzi mtazamaji
Acha nibaki na hamu zangu huyo ben 10 apambane na hali yakeLakini una kiben 10 kinakupendaa
Nakionaa kiben 10 kikiwin
WoyooooooAcha nibaki na hamu zangu huyo ben 10 apambane na hali yake
Kila mtu apambane na hali yake
Nami nakupenda sana sana mama watoto wanguNakupenda kwelikweli![]()
![]()
![]()
![]()
Shemela kinachokuchesha ni nini etiii
Ewaaaaaaaaa acha na mie nipambaneKila mtu apambane na hali yake
Ulivyosema acha bora alivyoamua kujitoa, ndio hicho shemelaShemela kinachokuchesha ni nini etiii