...hiyo picha aliyoweka alinifotoa wakati umemgombeza , ni mbinu yake ya kuomba msamaha, akijua akiniweka kwenye whatsapp basi utamuhurumia, kwanza alianza kutafuta picha ya dada yako nikamnyima nikamwambia picha ya mama yangu asiihusishe, akiniomba ya
Shunie nimpe?