Hahahahaha huyo alikuwa wako na ulimpindua binamu wako ...kwanza wewe nshakusoma unanionea gere kuwa na mcute ABJ...lol! Kuna ABJ tena, yule shortie uliyembadili jina ukamuita MC sababu ya changamoto yake ya ufupi imekuwaje tena?
MC = Mini cooper vile vigari vizuri vidogo vyenye changamoto ya umbo navyovipendaga sana
Anko kuna anayenibipuuu hapa
Wewe lakini ndo ulimtajia nilivokwenda nje kujistrisha na yyle ...alafu alivo mbaya naona whatsap kaweka picha yako sijui ananikomoaa ?..ha hahahhaa, atakuwa yule uliyempa namba yako ya whatsapp, anakutafuta! Hivi hata ulimkumbuka kumtizama vizuri maana zile bia zilikuwa za moto utasema zimetengenezwa Dodoma
Ila anko na wewe kiboko ...mimi nikajua kizuri unakula na nduguHa hahahhaaha, usiseme kwa sauti anko wangu mkubwa atanilaani maana japokuwa ni king mswati lakini hataki kabisa kushare
Wewe lakini ndo ulimtajia nilivokwenda nje kujistrisha na yyle ...alafu alivo mbaya naona whatsap kaweka picha yako sijui ananikomoaa ?
Ila anko na wewe kiboko ...mimi nikajua kizuri unakula na ndugu
Anko unamtafuta maneno shunie na sitokutetea...hiyo picha aliyoweka alinifotoa wakati umemgombeza , ni mbinu yake ya kuomba msamaha, akijua akiniweka kwenye whatsapp basi utamuhurumia, kwanza alianza kutafuta picha ya dada yako nikamnyima nikamwambia picha ya mama yangu asiihusishe, akiniomba ya Shunie nimpe?
Aminaa...ndugu unakula nao chakula cha kushibisha tumbo, ila chakula cha kimwili ndugu usiwashirikishe
Anko unamtafuta maneno shunie na sitokutetea
Yaan maji ata ya kandoro hawezi kukupa ...kazi nahisi uliyopewa kwenye mikakati yenu ni kumvuruga vuruga..aunt yangu tunaiva sana yaani hana noma na mimi kabisa. Wikend nikija mjini nitapita kwake ninywe juice (naamini keshasahau kuwa alisema nisiende kwake, sipati juice wala maji)
Yaan maji ata ya kandoro hawezi kukupa ...kazi nahisi uliyopewa kwenye mikakati yenu ni kumvuruga vuruga
...anko mkubwa tuko naye sawa sana, sasa hivi anaingia JF kama guest
Alafu kuna demi anamtafuta na juzi kasema nimfikishie salam
Sasa anko mfano unamanisha nini kwa sisi waliowagumu...demi alikuwa anazuga tu ili aunt asijue, wale waswahili wanaosemaga kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa walijua wanasema nini
Shikamoo binamu...demi alikuwa anazuga tu ili aunt asijue, wale waswahili wanaosemaga kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa walijua wanasema nini
Si ndio zenu hizo viben 10 humu jf mkiachana unakutana na bandiko lakoHa hajaman
Ebu weka ile pic yako kwanza uliyoipost ile siku chit chat mana sakayo aliisifia sijui aliangalia vibaywHamimi sio SHEDEDE WIZZY BABY tena
Saivi mimi ni shadrack let say shedede ilikuwa adoless seoson saivi mi mkubwa bhana kiumbo na kifikra
Still bado nampenda 'ujue'
mu worry out siwezi toa uzi 'ujue'
MfyuuuuuuuuStill bado 'ujue' in my heart