Makapuku Forum

Makapuku Forum

Baba D kila siku anaongea kuhusu mazoezi siwezi jaman ameamua kuniangalia tu
Yaani ukiwa unafanya Jogging! Au hata kuruka kamba...

Fanya kupunguza vyakula vya mafuta na wanga mwingi..

Utakuwa umeepuka vitu vingi sana kama pressure, kisukari na kiharusi.

You will be fit and healthier..!
 
Asante T nitajitajidi jaman kama nitaweza ninavyopenda nyama nyama mie za mafuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom