Yesu azidi kukutunza kila siku iitwayo leo nakupenda mm Lyon LeeLyon Lee muwe na usiku mwema nilikuja kumuwish shem wangu mm mdogo wake na Baba D wangu
Shem sina cha kusema zaidi kukushukuru kwa keki na suprises zako kwa leo Mungu azidi kukutunza na kukulinda shem lake ....shuny le boss asante mmeninyoosha na baba d ....