Makapuku Forum

[emoji524]Baba katika jina la Yesu kristo.Asante kwa neema yako ya ajabu katika maisha yetu.asante kwa upendo na fadhili zako nyingi mnoo katika maisha yetu.
Natubu kwa ajili ya kila mmoja wetu maomba utusamehe .
Baba naomba ulinzi wako .usiku huu .Damu ya Yesu itufunike tulale salama .naomba na kaumini kwa jina la Yesu kristo

Amen
 
Happy birthday my best shem ever [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] Yesu azidi kukutunza kila siku iitwayo leo nakupenda mm Lyon Lee Lyon Lee muwe na usiku mwema nilikuja kumuwish shem wangu mm mdogo wake na Baba D wangu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji512] [emoji512] [emoji512]
 
Hakika mkuu

Nyagei
 
[emoji524]MAOMBOLEZO 3

22. Ni huruma za Bwana kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi.

23. Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu.


SIKU NJEMA,BARAKA ZA MUNGU ZITAWALE[emoji120]
Na kwako pia mlisha kondoo wa Bwana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…