Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...anakudanganya anakudanganya huyooooo, hawa jamaa sijui waliendaga wapi.
nakumbuka ndo wimbo ulikuwa unamdediketia Kuruthum baada ya kumuacha Joy Bonge
Nawe pia shululuView attachment 631067Asubuhi njema makapuku wote na jumatano njema
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nawe pia shululu
[emoji4] [emoji4] [emoji4]....shemu wako haogopi kurogwa? Kama anadawa ya kujinasua wakinasiana basi amsogelee kipenzi changu. sitaki masihara kwenye mambo ya kimwili mimi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] BH kokote uliko njoo umuite "baby"huyu kiumbe....labda BH ataniita baby!! Maana ukweli usemwe Husna wangu hajawahi kuniita baby, ananiita jina langu tena lile la ukoo kabisa utasema tumezaliwa tumbo moja
[emoji23] kijembe mubasharaHa hahahahahahah! Mjomba wangu kama mfanyakazi wa makumbusho ya taifa, hachagui cha kuangalia. Oh, jiko la shamba
[emoji1] [emoji1] [emoji1]....unataka cha shilingi ngapi, maana sio tu useme upatiwe chochote kumbe mfukoni una nauli tu ya kurudia kwenu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]...na ukiniona nacheza kiwanzenza ndo utajua kabisa sijakamilika, nayarudi mangoma kama HBaba
[emoji1] [emoji1] [emoji1]...usiende kumpa yule muuza vipodozi, akikuona tu atakudai, unamkumbuka yule dada wa bank, eeeh, alikopa mascara kwa jina lako. so nenda ukadaiwe
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Nakusubiri tule[emoji4] [emoji4]
Shukrani mkuuView attachment 631067Asubuhi njema makapuku wote na jumatano njema
Umemkaribisha wifi wako ,,??[emoji1] [emoji1] [emoji1]