BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
[emoji2] [emoji2] [emoji2]...yeah napiga sana tungi, yaani kuna siku nimeenda kupiga mishe pale Tungi (kama unaishi kigamboni utakuwa unapajua) nikamaliza nikaingia ndani kidogo Maziwa ndo nikaenda zangu Kishiwani. Tungi si mtaa mzuri kabisa
Amen, Asante kwa neno[emoji524]Mwambie MUNGU maneno haya
"Ee MUNGU muumba wangu na kimbilio langu, nashukuru kwa kunilinda usiku kucha na kuniamsha mzima asubuhi hii ya leo.Sina cha kukulipa ila nasema asante sana.Nakuomba uniongoze katika siku hii ya leo,ukamwage baraka zako tele ukanipe kibali machoni pa kila mtu uniepushe na kila maovu nipe kushinda kwa kila jambo Unapowazuru wengine usinipite kwani wewe ndiye kimbilio langu na msaada wangu wakati wa shida.AMENI"
>Asubuhi njema.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]....mpenzi wangu, mbona unahamaki mama, nikishaona basi natafuta mengine ya kuangalia. Hupendi niangalie maua, basi ngoja huku uwani tulime bustani ya maua. sitaki ugomvi na wewe maana nakupenda hadi naumwa na tiba ni wewe. Usipokuwepo natafuta tiba mbadala
Mbona hata we unao wengiAnao wengi ila wa humu ni husna