Anko hekima ifate mkondo
Kwahiyo umekuwa Baba D kipeuo cha pili eenh ndio mjomba wao huyo mfyuuuuu
Ndio anko wako huyo mgeni harudi tena
...anko, sikutekwa na anayejulikana, nilikuwa hapa kikosi cha mizinga nimechelewa mara paap husna muba akanipigia simu kuwa nisichelewe
Haina mvuto et.....Mkushi hiyo avatar inatisha ujue
Loh!.....sio kupaa tu, ngoja nije nikupaishe ufike kileleni.
Unatumiaga kinywaji gani kwanza?
...BH, umeshakula? Leo najisikia mahaba tu ya kukuuliza kama umekula
mpendwa wangu kwenye ubora wako
ukimaliza niambie
...siku ile ilikuwa ni noma, hivi aunt hakukugundua kweli maana yule dada alijipulizia marashi makali hadi mwenye mafua anaya'sikia' mix ya revola soap na gift of zanzibar
Unaenda wapi eti
MfyuuuuuuuuuuuuNahudumia sana, huoni hapa nimekaa na Husna afu ninamtumia BH hela ya kula kwa simu yangu mpya. Umeona? Hizi ni mbinu za anko wangu alinifundisha
Aise sijui yupo wap...eti mgeni ABJ kenda wapi?
Kwendraaaaaaaaaa...mimi mjomba wangu ameathirika na mambo ya ukoo, yeye anapenda asali mimi napenda maua. Angalia hata picha zangu napenda kupiga nikiwa kwenye maua
Wewe ndio umempeperushamgeni kapeperushwa na Mndali ndanyelakakomu mimi wala sihusiki. Au yuko chuo, kifurushi cha college kimeisha