Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Shem ndio mana mama anasema unanilinda sana nipo mimiEti shem uko wapiii??
Shem ndio mana mama anasema unanilinda sana nipo mimiEti shem uko wapiii??
Nimeuliza uko wapi ili uwape jibu tumoshaShem ndio mana mama anasema unanilinda sana nipo mimi
Nipo nimekumbatiwa na baba dNimeuliza uko wapi ili uwape jibu tumosha
Unawaumiza wakina mabetoNipo nimekumbatiwa na baba d
Ahahahhh wakina mobeto ndio kina naniUnawaumiza wakina mabeto
Mke mwee santee ila wali vigego huu ujumbe kama hawauoni kila kukicha kuwavua nguo waume wao wapenzi wao jamaan waelewa tumekuelewa sana


Inahusiana nn na swali languHivi mkee mwee kwani we huna mume au mupenzi jaman
Hivi umewaza nini kuuliza hivo??
Usitake niamini unachosemaga
kipiHali gani ya hewa lakiniHivi jaman hali ya hewa hii ni ya kuuliza watu wako wapi kweliii
Nakusalimiaaaa![]()
kipi
Shemeji yko ananishushua bure kwani kf wote wako dar wengine tulipo ni jua na joto hatariNakusalimiaaaa
Pita kwa mangiii pata kinywajiii bili kwanguShemeji yko ananishushua bure kwani kf wote wako dar wengine tulipo ni jua na joto hatari
Ngoja wakuje mkuu2004 Toyota Harrier For Sale in DarEsSalaam
Price: TZS 16,500,000
2013 Registration • Good condition • all duties paid • 103,916 km done • Station Wagon • 2AZ Engine Code • 2,360cc • Petrol • Auto transmission • 4 Wheel Drive • Right Steering • 5 Seats • 5 Doors • Accident Free • neither Mechanical nor Technical Issues
NB:
- Haina rekodi ya ajali
- Haijaguswa kiufundi
- Bodi haina michubuko
Mawasiliano: +255786157788
![]()
Inahusiana sana ukiona watu hawapo na hali ya hewa hii juwa wapo na mabebez waoInahusiana nn na swali langu
Huko kwenu naona jua linawakaHali gani ya hewa lakini
Basi huku kwetu ni mvua tuuu hivi juzi si uliniambia upo kwa shululuShemeji yko ananishushua bure kwani kf wote wako dar wengine tulipo ni jua na joto hatari
Na mimiPita kwa mangiii pata kinywajiii bili kwangu
♀️