BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nafurahi kama unafuraha maana NAKUPENDA ...[emoji7] [emoji7]Mmh kusikojulikana wapi mama jaman mbona me nipo nae kila siku khaaaa
Amen, nawe pia siku njema Ubarikiwe sana[emoji524]KUTOKA 14
13 Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.
15 Bwana akamwambia Musa, Mbona unanililia mimi? Waambie wana wa Israeli waendelee mbele.
16 Nawe inua fimbo yako, ukanyoshe mkono wako juu ya bahari, na kuigawanya; nao wana wa Israeli watapita kati ya bahari katika nchi kavu...
SIKU NJEMA WAPENDWA[emoji7][emoji7]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] bila mapupu??Sawa sawa endelea kufurahi shemela ili uzidi kunenepa
Napata picha[emoji41]...ngao ya kidonge na ngao ya maji
Identical[emoji7]Hahahaha mama shunie hajakwambia kuwa sisis mapacha ?
Asante baba watoto nakupenda piaMy love uwe na ijumaa njema
Nakupenda sana mama watoto wangu
[emoji307] [emoji307] [emoji307] [emoji307]
Mama huyooMmh kusikojulikana wapi mama jaman mbona me nipo nae kila siku khaaaa
Shem darling nakusalimiaa mmBasi ukizungumzia anko wako mdogo useme mdogo sio anko inajulina ni lee
Asante mkuu barikiwa piaMungu awabariki
NdioIdentical[emoji7]
[emoji18] [emoji18]Kinachoniumiza hivi mkwe anaweza kuwa kimyaaaa au yuko kusikojulikana
Shemu mzima ?Asante mkuu barikiwa pia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Umefurahiiii mwenyewe
Pcha gani mamaNapata picha[emoji41]
Mzima za wwShemu mzima ?
Ya uskuPcha gani mama
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante mkuu barikiwa pia
[emoji120][emoji120][emoji524]KUTOKA 14
13 Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.
15 Bwana akamwambia Musa, Mbona unanililia mimi? Waambie wana wa Israeli waendelee mbele.
16 Nawe inua fimbo yako, ukanyoshe mkono wako juu ya bahari, na kuigawanya; nao wana wa Israeli watapita kati ya bahari katika nchi kavu...
SIKU NJEMA WAPENDWA[emoji7][emoji7]
[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]Nafuraha mama yangu nakupenda piaNafurahi kama unafuraha maana NAKUPENDA ...[emoji7] [emoji7]