MITHALI 30.
7.Mambo haya mawili nimekuomba;Usininyime [matatu] kabla sijafa.
8.Uniondolee ubatili na uongo;Usinipe umaskini wala utajiri;Unilishe chakula kilicho kadiri yangu.?
9 .Nisije nikashiba nikakukana,Nikasema, BWANA ni nani?Wala nisiwe maskini sana nikaiba,Na kulitaja bure jina la Mungu wangu.
MCHANA MWEMA WAPENDWA WANGU