Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hapo sawa, halafu ukikuta nabebika na Bebe kwenye mojawapo ya thread piga kimya sio unaanza kuleta mambo ya Ex Ex wangu huyu...mara sijui nna watoto wake n.k..ssssshhhhhh!!! usije ukanipeperushia kipepeo changu bure
mkuu hapo ndo nimekuelewa saasa kumbe ulikuwa unalipiza kisasi eti! Mara paap nimekusomaaaa sikuchokozi tenaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom