Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndiyo mkuu. Tiketi unaiona unaisave unaendelea kuangalia kama kuna zingine zenye muda mzuri zaidi au bei rahisi ukija kurudi tiketi ile ile unaikuta imepanda kwa dola hata 300 na uko pale pale wala hujaondoka. Jamaa wajanja sana. Wanajua kuwa kama unarudi rudi kwenye site yao basi ni kweli uko siriazi na wanakukamata hapo hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…