[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mimi....sijakuagizia mimi, ningekutajia kinywaji hapo ungesema lakini nimeacha uhuru wa kujichagulia kinywaji kuendana na hali yako, kama hali yako inakupambania basi si ulitangaza kuninyima hadi jwisi basi kunywa maji usikie tumbo linavyounguruma
Wale wa story tunaendelea
Alokwambia mie mnyakyusa nani[emoji57] [emoji57] [emoji57]Tumosa.. ukuje, wanakunyanyapaa kikabila..[emoji23] [emoji23]
[emoji123] [emoji123]Haikufa juzi, jana wala leo na wala haitakufa kesho, keshokutwa wala mtondogoo.. labda ife jamiiforum kwanza.. this is a family,tumebandana kwa strong bond..
Kila mtu anaejisikia kuwa wa hapa anakuwa hapa, kufa si rahisi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Bado,una mpango ife?
Mdomo km bi kidude asema "waambaje"Alokwambia mie mnyakyusa nani[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Muke ya pedesheee Lee muzeee ya peremendeAgiza kinywaji unachotaka bill ikuje kwa mamaa lee empire
Bauntha hiloo..[emoji23] [emoji23][emoji123] [emoji123]
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Neno TUNUTU SIO KINYAKYUSA NAONA HATA MUANDAAJI HAKUJUA..TUNUNU.
..NDIO KINYAKYUSA
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nakupenda pia mke mwee Mungu akutunze
Watake radhi wapenzi wa mikadi..[emoji23] [emoji23] [emoji23]..kuna gym moja jirani na beach kimba, aka Mikadi beach ameanza kwenda hapo labda ndo maana anarusha ngumi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...muke ya anko wangu. Aunty yangu wa nguvu, kunywa kinywaji cha gharama unachokipenda kwa hela zako. Niletee risiti tuone kama wamekukata kodi , maana wewe ni mzalendo
Mm nilikosa cha kusemaMama yangu kanishinda jamaan si kwa ngumi hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mama kunywa chaiSasa binamu jamaan basi usingeniagizia kama nalipa mwenyewe ungeniacha niagize tu kinywaji changu mwenyewe
[emoji4][emoji4]...hii story pamoja na ya mpendwa wangu zinapandishwa kwa mpigo sana, nazitunza nizisome jmosi. asante
Kumbukumbu kumbukizi na hiyo juisi nilikuombea mm....sijakuagizia mimi, ningekutajia kinywaji hapo ungesema lakini nimeacha uhuru wa kujichagulia kinywaji kuendana na hali yako, kama hali yako inakupambania basi si ulitangaza kuninyima hadi jwisi basi kunywa maji usikie tumbo linavyounguruma
Ewaaaa shunie wa pedesheee lee peke akeeMuke ya pedesheee Lee muzeee ya peremende
Veeep na kunilazimisha kunywa chai nakuona tuMama kunywa chai