makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,595
Haikufa juzi, jana wala leo na wala haitakufa kesho, keshokutwa wala mtondogoo.. labda ife jamiiforum kwanza.. this is a family,tumebandana kwa strong bond..Hii forum bado haijafa
Bado,una mpango ife?Hii forum bado haijafa
Agiza kinywaji unachotaka bill ikuje kwa mamaa lee empireHaikufa juzi, jana wala leo na wala haitakufa kesho, keshokutwa wala mtondogoo.. labda ife jamiiforum kwanza.. this is a family,tumebandana kwa strong bond..
Kila mtu anaejisikia kuwa wa hapa anakuwa hapa, kufa si rahisi.
Mpaka mama kaongea kweli yamemfika hapaBado,una mpango ife?
Mmh mama makopa yote hayo na mauwa unamrudishia maka ngumi hapana jaman hata Mungu hapendi
Neno TUNUTU SIO KINYAKYUSA NAONA HATA MUANDAAJI HAKUJUA..TUNUNU.
Ameen mama nimependa neno barikiwaWaebrania13:1-2
"Upendano wa ndugu na udumu. Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua."
Tusiache kuwakaribisha wageni kwani huleta baraka mbalimbali na pia wengine ni malaika. Tusiwakaribishe tu bali pia na kuwafadhili, tufanyike baraka kwa wengine nasi tutabarikiwa.
AMEN
JIONI NJEMA MBARIKIWE
Nakupenda pia mke mwee Mungu akutunzeMke mweeee,Husobe mnajua vile nawapenda
Namshangaaa...ikifa atafanyaje kwani...Mpaka mama kaongea kweli yamemfika hapa
HallelujahNamshangaaa...ikifa atafanyaje kwani...
MUOMBEE ADUI YAKO AISHI MIAKA MINGI ILI UKIFANIKIWA ADUI AJIONEE KWA MACHO..NI VIZURI KUIOMBEA ISIFE ILI TUSHUHUDIE MAFANIKIO YAKE..SISI TUNAMPENDA..MUNGU AMBARIKI
Ulikuwa umejiandaa kufanya sherehe mkuuHii forum bado haijafa
Agiza kinywaji unachotaka bill ikuje kwa mamaa lee empire
Nimecheka mpaka nimepaliwa binamu wewe hapana niagize kinywaji cha gharama ninachopenda halaf kwa hela zangu...muke ya anko wangu. Aunty yangu wa nguvu, kunywa kinywaji cha gharama unachokipenda kwa hela zako. Niletee risiti tuone kama wamekukata kodi , maana wewe ni mzalendo
...naona maua maua tu, huu uzungu wa mauamaua utasema wanataka kuanzisha kilimo cha nyuki