1WATHESALONIKE 5
[23]Mungu wa amani mwenyewe awatakase kabisa; nanyi nafsi zenu na roho zenu na miili yenu mhifadhiwe mwe kamili, bila lawama, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo.
[24]Yeye ni mwaminifu ambaye awaita, naye atafanya.
NI rahisi ADUI KUINUA VIKWAZO mbele YAKO! LAKINI ni VIGUNU kubadili mpango wa MUNGU juu ya vMAISHA YAKO,
MUNGU amepanga KUKUBARIKI ni lazma UBARIKIWE TU.
USIACHE KUOMBA MUNGU WETU NI MWAMINIFU SANA.