Hapana ni anko mkubwa ndo alimfaidi ndo maana nimewaza kuwa kuku anaweza kwenda uko...kumbe na wewe unamkumbuka huyu binti? Oh, nimekumbuka si ndo yule aliyekufanya ukimbie kwenda porini alipokusingizia alilala kwako
Binamu asante sana muhenga me umenikumbusha mbali enzi za nyimbo hii ilivyokuwa inatamba halaf binamu naomba kesho tukutane centralMuziki: Darasa La Saba
Leo ni siku nzuri sana, yeah, ni furahiday, watu tulienda kupiga mkeka, eeeh ukisikia mkeka vijana wa humu mnajua ni mambo ya betting, mimi huwa sibet, hata mjomba wangu huwa habet, hafanyi huo upuuzi labda abet kwenye masuala ya kimwili. Kwanini namsema anko wangu habet, majuzi kasema habeti kumbe habeti kwenye mpira ila kimwili akamtumia mhamiaji haramu mmoja nauli toka namanga kuja alipo (sipataji alipo mjomba wangu kwa sasa hadi hapo baadaye), si ndo kubet kwenyewe huko.
Basi bhana, matokeo ya LY yaani std 7 mika yangu ilikuwa ni siku ya balaa kwa sababu my friend kachaguliwa kusoma shule ya serikali wakati mimi hata jina langu halikuonekana mwanzo wa majina hadi mwisho. Nikajiuliza je hawakusahihisha paper zangu au vipi nimefanyiwa hiyana maana kwa kutoroka kwenda kuiba mahindi na kucheza mpira nilikuwa bingwa. Nadhani kama umitashumita ungekuwa unafanyiwa mtihani wa mahudhurio ningekuwa Tanzania One ila ndo hivyo nilifanyiwa mtimanyongo paper langu halikuonekana maana yametokeza majina 100,000+ langu halimo, wasio wazalendo wakasema sikufaulu. Nikarudi kuendelea na mambo ya mipira. Na leo nipo hapa nimekuwa kocha wa veterani
Muziki sasa, leo nimeandika sana maana ni ijumaa ya matokeo ya std seven, nimekumbuka mengi maana walimu baada ya kunisisitiza niwe nakaa mbele ili niwe na akili wakaniacha nikawa back bencher.
Hivi simu imewakaKama wewe ulibofurahi mm kutoka kule bila kuitiwa mcute nikamsalimia
mke mwee subili shingo na miguu na vichwa
Woyooooooooo na yeye mama analipenda tabasamu lako binamu.....nalipenda tabasamu lako BH
Woiiiii mbona mda ule ule ulivyotoka ti au sijui hata umemaanisha niniPambana na majiraniii
...yeah, maana nilidhani atataka kusoma shule za private wakati shule za bure zipo kila kata. Asante sana serikali
....cha bure anachoweza kupata kwangu, upande wa kinywaji ni mate tu, si ndo mnasemaga denda?
Na anafika ndio ujiandae kuacha masanga....hakyanani tena akikufikia mimi naokoka, naacha kabisa mambo ya kutokunywa masanga
Central wapi shemBinamu asante sana muhenga me umenikumbusha mbali enzi za nyimbo hii ilivyokuwa inatamba halaf binamu naomba kesho tukutane central
Yaan nilitaka kukwambia sijui usb make haioneshii ngoja nitabadisha usb keshoHivi simu imewaka
Mmmmmmh sio mpaka now mambo badoWoiiiii mbona mda ule ule ulivyotoka ti au sijui hata umemaanisha nini
....cha bure anachoweza kupata kwangu, upande wa kinywaji ni mate tu, si ndo mnasemaga denda?
Binamu una nini jaman na huyu kuku ninaeletewa ni vipiii...utakauka mate bure, kuku ni kweli aliahidiwa lakini akatokea penzi jipya akapewa. Mimi nilijitahidi kumsisitiza anko atimize ahadi, akatishia kunisomea albadiri nikaona isiwe tabu, nikambeba kuku na nikamchinjia kabisa penzi jipya.
Labda nimletee manyoya ili angalau apate cha kujichokonolea sikio
Na wewe piaHapana ni anko mkubwa ndo alimfaidi ndo maana nimewaza kuwa kuku anaweza kwenda uko
Central police nikutane naeCentral wapi shem
Mmh labdaYaan nilitaka kukwambia sijui usb make haioneshii ngoja nitabadisha usb kesho
haiwezi fika mpaka usiku muda ule ule ulitumwaMmmmmmh sio mpaka now mambo bado
Kkuna shida ?Central police nikutane nae
Apo sawaaahaiwezi fika mpaka usiku muda ule ule ulitumwa