Makapuku Forum

[emoji524]Zaburi 136

1 Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

11 Aliwatoa Waisraeli katikati yao(Wamisri); Kwa maana fadhili zake ni za milele.

12 Kwa mkono hodari na mkono ulionyoshwa; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

13 Yeye aliyeigawa Bahari ya Shamu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

14 Akawavusha Israeli katikati yake; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

15 Akamwangusha Farao na jeshi lake katika Bahari ya Shamu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

SIKU NJEMA MBARIKIWE[emoji120]
 
Yes umenikumbusha mbali sanasana asante Obe ubarikiwe
 
Amina mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…