makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
Nafurah kwa hiloNamshkuru sana Mungu nipo poa sana
Mwisho gani.. acha unaa chief..Ngoja nione mwisho
Salamu haziishiNiko poa ndugu yangu, hofu ni kwa wewe shunie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata akisema kalapina ni mwanamke.. mie napeleka barua ya posa tena mwenyewe..[emoji23] [emoji23]
SawaSalamu haziishi
Mwisho wa salamuKhaaaa
Chineeeee ....makavelioooooh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwisho gani.. acha unaa chief..
Pamoja jiraniNashuruku thaaana jirani.. (kinyambez voice)
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]au shem umemwambia binamu [emoji134] kajuaje hizi mambo za kuku
Shemela za mchanaukimaanisha shem
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndio weka bango kubwa getin..
Umwambie baba d aelewe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]maka buana [emoji4][emoji4] unapendaga kunijazaaa halaf hujui tu ujue ukinijaza najazika kweli
My love za mchana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji524]JEREMIA 33: 3.Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.
MWITE MUNGU BABA USIKU HUU..ATAKUSAIDIA[emoji120]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Nakupa shukran ya advance..
Ahsante
Kiukweli anaifanya siku kuwa nzuri
Asante Mtumishi Mwema. Huwa unanibariki sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Salama shemela shikamooShemela za mchana
Mbavu zangu makaHata akisema kalapina ni mwanamke.. mie napeleka barua ya posa tena mwenyewe..[emoji23] [emoji23]
Mh au kasepa nayoYule jamaa wetu wa monie
Yaan sielewiiMh au kasepa nayo