Makapuku Forum

1918 - Louis Althusser, mwanafalsafa wa Ufaransa alizaliwa

Mwanafalsafa huyu alizaliwa Algeria, kipindi hicho hii nchi ilikuwa ni sehemu ya Ufaransa. Pamoja na usomi wake wa kiwango cha juu kabisa, alipatwa na tatizo la akili na alimnyonga mkewe kwa kumkaba shingo. Wakati wa hukumu ilionekana mbili haikai moja haiingii hivyo akawekwa wodi ya vichaa

 
Duu...aiseee....ugonjwa Wa akili ni mbaya sana....pole yake
 
1997 - James Michener, mwandishi Mmarekani, na mshindi waTuzo ya Pulitzer mwaka wa 1948 alifariki


...kaandika vitabu vingi sana na pia ni mtu aliyependa kujitolea mali zake zilizopatikana kutokana na kazi zake za sanaa na hasa utunzi na uandishi wa vitabu. Keshatumia zaidi ya dola milioni 100 kwa ajili ya kuendeleza elimu, utamaduni na uandishi Marekani na Canada. Hapa ndo ninapojiuliza kina Shaban Robert na Shafi Shafi tungekuwa tunawaunga mkono kwenye kununua kazi zao tungekuwa na si tu wajinga wachache bali pia huduma za kielimu michango ingepungua sana
 
Kweli kabisaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…