Makapuku Forum

Makapuku Forum

41b5775af2f58e840dbbb6e5963a7c55.jpg
Mie ndio kingekuwa kisingizio cha kuikacha shule..

Watoro bhana, tunatafutaka sababu tuu
 
...kaandika vitabu vingi sana na pia ni mtu aliyependa kujitolea mali zake zilizopatikana kutokana na kazi zake za sanaa na hasa utunzi na uandishi wa vitabu. Keshatumia zaidi ya dola milioni 100 kwa ajili ya kuendeleza elimu, utamaduni na uandishi Marekani na Canada. Hapa ndo ninapojiuliza kina Shaban Robert na Shafi Shafi tungekuwa tunawaunga mkono kwenye kununua kazi zao tungekuwa na si tu wajinga wachache bali pia huduma za kielimu michango ingepungua sana
220px-James_Albert_Michener_%C2%B7_DN-SC-92-05368.JPEG
Inategemea na roho ya mtu mkuu, pesa mwanaharamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom