Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
1869 - Claude H. Van Tyne, mwanahistoria kutoka Marekani alizaliwa
Na wewe pia shululu.
Ahsante sana kwa Font ferd.
Muwe na Siku njema Kapuku wote![]()

Santeee
1918 - Louis Althusser, mwanafalsafa wa Ufaransa alizaliwa
Duu...aiseee....ugonjwa Wa akili ni mbaya sana....pole yakeMwanafalsafa huyu alizaliwa Algeria, kipindi hicho hii nchi ilikuwa ni sehemu ya Ufaransa. Pamoja na usomi wake wa kiwango cha juu kabisa, alipatwa na tatizo la akili na alimnyonga mkewe kwa kumkaba shingo. Wakati wa hukumu ilionekana mbili haikai moja haiingii hivyo akawekwa wodi ya vichaa
![]()
1975 - Christophe Maé, mwimbaji kutoka Ufaransa alizaliwa
1990 - Art Blakey, mwanamuziki kutoka Marekani alifariki
Aisee...!!!Alitunukiwa tuzo ya Grammy kwa umahiri wake kwnye muziki wa Jazz, baadaye aliamua kubadili dini na kuitwa
Abdullah Ibn Buhaina
![]()
1997 - James Michener, mwandishi Mmarekani, na mshindi waTuzo ya Pulitzer mwaka wa 1948 alifariki
1973 - Gene Krupa, mwanamuziki kutoka Marekani alifariki
Kweli kabisaa...kaandika vitabu vingi sana na pia ni mtu aliyependa kujitolea mali zake zilizopatikana kutokana na kazi zake za sanaa na hasa utunzi na uandishi wa vitabu. Keshatumia zaidi ya dola milioni 100 kwa ajili ya kuendeleza elimu, utamaduni na uandishi Marekani na Canada. Hapa ndo ninapojiuliza kina Shaban Robert na Shafi Shafi tungekuwa tunawaunga mkono kwenye kununua kazi zao tungekuwa na si tu wajinga wachache bali pia huduma za kielimu michango ingepungua sana
![]()
Na hapo ndio mwisho
By husobe
Ubarikiwe mkuu ShululuAsante kwa sala ya asubuhi mama mchungaji