Kafute kauli yako kule.....km yy ana ushauri si aje huku?
Sisi sio vilaza tunajitambua
Hatupendi UNAFIKI
OK
.....................................................
Ushauri kwa makapuku wenzangu
..............................................
Hahahahaaa.... hadi hurumu.hay bhan nitakuw natoa
Hapo safiiNiko na unafuu kidogo, namshuku Mungu.
Niko poa sana, si unajuaga week end haina majotroooZa kuamka kaka
Uko poa Dada yangu
pole san kw kuumwa mwana god akupwnguvu uibuke uwe newHapo safii
Hata hizo like zote ulizonazo nna hakika umepata hapa hapaMbona nyie hamnip like
Ni njema.Habari zenu makapuku wenzangu?
kuna nyingine nimeokota hap hap na nyingine nimetoa kwenye sportHata hizo like zote ulizonazo nna hakika umepata hapa hapa
hivyo relax
Ukishafuta uka unlike na ile post, tuna akili timamu na tunajua tunachofanyaKafute kauli yako kule.....km yy ana ushauri si aje huku?
Sisi sio vilaza tunajitambua
Hatupendi UNAFIKI
OK
.....................................................
Ushauri kwa makapuku wenzangu
..............................................
Homa ilikuwa inasumbua kidogo.Mzima wa afya. Hofu kwakk
Huyo jamaa atakuwa hajielewi tu.Kafute kauli yako kule.....km yy ana ushauri si aje huku?
Sisi sio vilaza tunajitambua
Hatupendi UNAFIKI
OK
.....................................................
Ushauri kwa makapuku wenzangu
..............................................
Mimba hiyo...Tumbo linauma.
Kichefchefu..
Shida tu.
nenda hospital kkMimba hiyo...
By the way nenda katibiwe na upate kupona mapema. Pole sana kaka.
TusimbembelezeHuyo jamaa atakuwa hajielewi tu.
Ndo ilivyo kwa team Kapuku, ajilekebishe tu.Hutoi ww unapewa tu
Sisi tunaangalia tu tupo making
But jirekebishe
Ukibana tunakubania
.......................
Hakuna like za bure.Hupewi like kwakua hutoi likes.
Pole kijana, jitahidi kulike kama wafanyavyo wengine.hay bhan
Ni kweli kabisa kaka.Tusimbembeleze
Asipofuta kauli take TUHAKIKISHE AKIJA HUMU TUNAMPOTEZEA KIAINA
Bora marafiki 10 kuliko wanafiki 100000000000
......................