Makapuku Forum

*
Yeremia 17:9*
*Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?*

*10 Mimi, Bwana, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.*

KAZI YA MUNGU NI KUCHUNGUZA MIOYO YETU...HAKIKISHA MUDA WOTE MOYO WAKO UNAKUWA SAFI MTU WA MUNGU.

*_M B A R I K I W E WOTE_*
 

Asante BH, ubarikiwe nawe pia katika wiki hii tunayoianza
 
Baraka ziwe juu yetu sote..
 
Amen mama mchungaji Ubarikiwe sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…