Makapuku Forum

Makapuku Forum

...and my dear uncle be like...
when-your-girlfriend-calls-to-tell-you-her-problems.gif
Binamu shikamoo
 
Muziki: Miaka ya 90 Nyanya Pensi

..siku naamini imeisha kwa uzuri kabisa, basi leo kwangu ilikuwa ni mkimbizano na mkomangano na mmoja wa wadai sugu wanaonidai. Kabla sijakupa kisa chenyewe wacha nianze kama bungeni baada ya dua la kuliombea bunge letu, natambua na ninakusalimia wewe Kapuku mheshimika na baada ya kukusalimia basi tunaendelea na shughuli za kawaida usiku huu. Shughulika usiku maana mazoea yana tabu, ukizoea kufanya usiku saa nne kwa mfano, ikigonga nne tu alarm inaita.

Basi bhana kabla sijasahau, huyu anayenidai kaniona leo akakumbushia deni lake miaka ya tisaini 90s wakati huo sina kazi na ninatambulika kama mtoto na yeye alikuwa tayari kijana na anajishughulisha na biashara sasa mimi nikamkopa nikitegemea nikipewa sadaka sunday skuli nitamlipa. Yaani hela ya sadaka nalipa deni, nadhani ni mpango wa Mungu, siku hiyo sikuwa sadaka, deni liko pale pale na leo ndo tunaonana na mdai akaniita mdaiwa sugu. To make a boring story short, nikampiga mzinga tena maana alikuwa na bajaj so anipeleke home na mwisho wa mwezi nitamlipa maana siku hizi nimeajiriwa.

Muziki sasa, miaka ya 90 uliingia mtindo wa nyanya pensi, well that time sijaja mjini lakini nilikuwa najua kusoma na home tulikuwa na redio nyumba ya jirani wana TV set na mapacha wa jirani mwenye TV wananitaka kila mmoja anasema the boy is mine kwa sababu nilikuwa maarufu kwenye soka nikampenda Kulwa maana akivaa nyanya pensi hahitaji kujaladia.

Similar Discussions

Back
Top Bottom