Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Kweli shem aache kulia lia alete vitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli shem aache kulia lia alete vitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipo byeeee ulitekwa wapi tena maka vipi weweHahaa.. haya, tuseme inshaallah bandugu yangu..
Vip lakin uko byeee!!
Mimi apaShemela..
Leta tu mkuu..Jaman tuleten hoja kuku kumepouwa san
Nakumiss aisee...Mimi apa
Kwenye ubora wako..Anachosha huyo kila siku kumepoa humu kumepoa ninii vitu vipo kama kawaida hamna kilichobadilika kama anaona kumepoa aweke na vyake pia
Marahaba mama yangu habari za masiku! [emoji4] [emoji4] [emoji4] nimefurahi kukuonaSalama shikamoo Malcom [emoji4][emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ewaaaaaa lete na wewe vitu sio unalalamika hamna anayelipwa humu wala kulipiwa bundle
Safi Malcom za wewe huko ulipo nimefurahi me pia kukuona karibu sana nyumbani [emoji4]Marahaba mama yangu habari za masiku! [emoji4] [emoji4] [emoji4] nimefurahi kukuona
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] halaf maka ujue me ni kapole jamani basi tuKwenye ubora wako..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leta tu mkuu..
Ila ni kuku au huku..
Kama ni kuku kapoa washa moto umpashe!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante me piaNakumiss aisee...
Muziki: Miaka ya 90 Nyanya Pensi
..siku naamini imeisha kwa uzuri kabisa, basi leo kwangu ilikuwa ni mkimbizano na mkomangano na mmoja wa wadai sugu wanaonidai. Kabla sijakupa kisa chenyewe wacha nianze kama bungeni baada ya dua la kuliombea bunge letu, natambua na ninakusalimia wewe Kapuku mheshimika na baada ya kukusalimia basi tunaendelea na shughuli za kawaida usiku huu. Shughulika usiku maana mazoea yana tabu, ukizoea kufanya usiku saa nne kwa mfano, ikigonga nne tu alarm inaita.
Basi bhana kabla sijasahau, huyu anayenidai kaniona leo akakumbushia deni lake miaka ya tisaini 90s wakati huo sina kazi na ninatambulika kama mtoto na yeye alikuwa tayari kijana na anajishughulisha na biashara sasa mimi nikamkopa nikitegemea nikipewa sadaka sunday skuli nitamlipa. Yaani hela ya sadaka nalipa deni, nadhani ni mpango wa Mungu, siku hiyo sikuwa sadaka, deni liko pale pale na leo ndo tunaonana na mdai akaniita mdaiwa sugu. To make a boring story short, nikampiga mzinga tena maana alikuwa na bajaj so anipeleke home na mwisho wa mwezi nitamlipa maana siku hizi nimeajiriwa.
Muziki sasa, miaka ya 90 uliingia mtindo wa nyanya pensi, well that time sijaja mjini lakini nilikuwa najua kusoma na home tulikuwa na redio nyumba ya jirani wana TV set na mapacha wa jirani mwenye TV wananitaka kila mmoja anasema the boy is mine kwa sababu nilikuwa maarufu kwenye soka nikampenda Kulwa maana akivaa nyanya pensi hahitaji kujaladia.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] cha kike Daniella[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo umechefukwa, au una kitoto cha lee nin tumbon ndio kimekuvuruga leo..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kwako pia msalimie geishaUsiku mwema wadau
Ahsante sanaaa,Safi Malcom za wewe huko ulipo nimefurahi me via kukuona karibu sana nyumbani [emoji4]
Sijatekwa na mtu, nilijitekesha na shughuli mamii..Nipo byeeee ulitekwa wapi tena maka vipi wewe
Na kwako pia mkuu wangu.Usiku mwema wadau
Niko poaa umekuja mda muafakaInakuwaje chief!?