Makapuku Forum

Maka asante tena jamaan
Mungu azidi kukubariki kukiwa na chochote tena nitarudi tena usinichoke angekuwa mwingine njo pm we elekeza apa apa kama makaveli
pm ya nin ndugu yangu, uduwanzi huo sina dada yangu..

Mie na wewe tena, naanzaje kukuchoka hamna kitu najiskia raha kama kumsaidia mtu ambae ananikubali nami namkubali..

U r welcom shunie wangu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…