Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Youngblood nilikumis kwa mdaTupo kaka.
Mambo vipi.?
Sana tu.... Lazima wakaeAtaingia tu. Wataelewa tu sasa hivi
Hata hivyo simba dume hawindagi![]()
Simba akishiba hauwi .....sababu hali viporo wala hana friza
Picha orijino siyo photoshop
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
........................
Hakuna mshindani, ni kumwondoa MZEE WA BUSARA TU(mchawi)Kukomaa tu, tunataka wifi na makapuku wote tuingie kwenye top 10, wale raia waliopo wote wawe out
Thanks shem
Muhimu tuweke rekodi ya top twentyAtaingia tu. Wataelewa tu sasa hivi
Ingia hapa ugonge like kuwakilisha ukapuku
.....................................
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/16056305
....................................
Jitahidi uingie kwenye top ten umkaribie mmeoThanks shem
Kaona tumemtoa # 1Hakuna mshindani, ni kumwondoa MZEE WA BUSARA TU(mchawi)
Yule ataondoka taratibu, natakiwa nipate kama likes 600 tu,Hakuna mshindani, ni kumwondoa MZEE WA BUSARA TU(mchawi)
Nakupushi sanaYule ataondoka taratibu, natakiwa nipate kama likes 600 tu,
Top 20 wala haina ubishi, tunahitaji kama wiki moja tu, kumalizia vipele vilivyosaliaMuhimu tuweke rekodi ya top twenty
huyu vipiHebu fanya mpango umtoe bwana,amekaa sana juu.Yule ataondoka taratibu, natakiwa nipate kama likes 600 tu,
Kafute neno NGARIBA kule utakula Ban mkuu.....kaeditNakupushi sana