Shem buana tulikua hatujapanga siku ujuejamani ila tuliongeaa na kupanga au ulikuwa ushakuwa poa ?
mama yangu humpatiiiii baki na mpendwa wako tu
Ahahha mama ana Yesu labda maombi anayofanya yamekuingia nataka korosho......hivi limbwata unaweza kumoan hata mtu asiye wako? Wakati mwingine huwa napata mawazo ya watu wa mataifa kuwa BH labda kanipa limbwata la bata
Kila siku kujifanya wa mwisho si uingie hata Google au mtwara hakuna
Ahahha mama ana Yesu labda maombi anayofanya yamekuingia nataka korosho
jamani ila tuliongeaa na kupanga au ulikuwa ushakuwa poa ?
Kama we binamu ujue unavyonifanyia hivi huyaoni mabaya yako kwanguWewe tena, unakuwaga wa kwanza kuniharibia hata moyo wake ukianza kunilolove kidogo unakuja na katapila kunichafua
Nimecheka kwa sauti binamu usinichoshe....Google wanaingiaje? Usijekuwa unanielekeza msikitini nikaingia na viatu ili visiibiwe
Nataka korosho tu binamu tena nuingi nyingi........korosho tu? Au nikuletee na juice ya mabibo?
....alikuwa tingasi yaani tila lila yaani fikiria unapita sehemu kibao kimeandikwa, endesha kwa tahadhari walevi wako kazini
Nataka korosho tu binamu tena nuingi nyingi
Anazipenda sana Mama...usikonde, na BH anazipenda? Ili yeye nimuandalie fresh kabisa
Anazipenda sana Mama
...vyenye BH akifurahia fresh korosho special toka Ntwara na hasa kigundua kuwa mwanae nimemletea korosho kiporo
shem sijakosea ujue
shemu umekoseaa au
Cjambo baba wawili pia hajamboMarhabaa mjukuu wangu... Jambo wewe? Baba wawili?
Wapoooooooooo wengine nimekutana nap huko wanalalamika humu sasa hivi ni mambo ya mapenzi tuhakuna wanafiki hapa
....mbona mnasalimiana kila wakati? Penzi lenu changa sana nini?