[emoji524]Neno*
Wakolosai 4:6
*6 Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolea munyu, mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.*
*Tuombe*
Neema na Upendo wa MUNGU Baba, ukawe kwa kila mmoja wetu, na tukiendelea kumtukuza MUNGU wetu, sasa na hata milele, ulinzi wa mwili na roho tunakabidhi kwako MUNGU wetu uliye hai, kupitia kwake Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi wetu , hallelujah
*Amina*
SIKU NJEMA MBARIKIWE SANA[emoji7][emoji7]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....yeah, ninazo tena hizo sita sita nimezinunua nyingi kishenzi, zilikuwa zinauzwa nusu bei
HV kumbe sita alikufaga ee
Mama lisu pole na kuuguza
Ubarikiwe T wa SakayoAmina mama mchuchu.
Njema Obe..Nakumis[emoji2] [emoji2] [emoji2]Habari za uzima BH! Asante sana kwa neno la asubuhi hii. Ninaimani hujambo
Kila LA kheri simba
Uwaa wapiga debe haoo
Nawe pia na asante kwa magazetiView attachment 599539Jumapili njema makapuku wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]shululu na Tumosa nawasalimia na kuwashukuru kwa magazeti yaliyodhaminiwa na Mndali ndanyelakakomu
Jumapili Njema Makapuku wote, mimi ndo nimerudi nyumbani, nilikuwa kwenye utambulisho wa chupa sita aka six pack
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Hatujambo binamu,kwani na ww una chupa sita
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....yeah, ninazo tena hizo sita sita nimezinunua nyingi kishenzi, zilikuwa zinauzwa nusu bei
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hongera binamu kwa kuwa na sixpack,
hebu tukasali kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....okay, huko mnakoenda kusali ninaruhusiwa kuja na sadaka?
Ameen[emoji524]Neno*
Wakolosai 4:6
*6 Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolea munyu, mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.*
*Tuombe*
Neema na Upendo wa MUNGU Baba, ukawe kwa kila mmoja wetu, na tukiendelea kumtukuza MUNGU wetu, sasa na hata milele, ulinzi wa mwili na roho tunakabidhi kwako MUNGU wetu uliye hai, kupitia kwake Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi wetu , hallelujah
*Amina*
SIKU NJEMA MBARIKIWE SANA[emoji7][emoji7]
Asante Husna kutukumbusha dearTarehe 1 Oktoba ni siku ya 274 ya mwaka (ya 275 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 91.