Mfyuuuuuuu madudu yako unaonaga wa kumsukumia ni baba d tuuu...mpenzi, mimi na wewe hatuendagi guest, na pia sijawahi kumjaribu huyu Eva, mambo ya Eva muuliza mjomba wangu lee empire.
Ulaini wako kama keki ya tufaa nashindwa kukulinganisha na andazi la kifaransa (croissant), na ujue ulaini wako ndo unaonipatia ugumu mimi, you know like hard on hata uvccm wakimaliza election mimi bado nina erection kwa ulaini wako.
Unataka kusikia nini tena?
Basi transcend..Hahaha
Mie constable mkuu
Hahaaaaaaaaa! Hapa kwenye kelele ndio huwa unanishinda tuu
Maka buana
Kila shetan na mbuyu wake, najionea mapya, najionea maajab maangu sijawah penda hv popte kwenye ulimwengu, siwez elezea jns nnavyokuzmia, nikicheza na moyo wako nacheza na wangu pia, nafs yangu juu yako ishapotea, nashndwa jitetea, ka ultoroka pepon uzur uliokuenea. Ujue una nusu ya moyo wangu na nusu iliyobak kwangu yote nakupenda wew. Unajua langu, una mwez wangu, unatembea na roho yangu, c m2 wa madem tena we ndo michelle obama wangu. We ndo kiboko yangu.
Yamenitoka tuuu
Sawaaaanimeelewa
Kesho ujueEbu ukuje unipe sauti ya pili na ya 3
EwaaaBasi transcend..
Aiseee.Kila shetan na mbuyu wake, najionea mapya, najionea maajab maangu sijawah penda hv popte kwenye ulimwengu, siwez elezea jns nnavyokuzmia, nikicheza na moyo wako nacheza na wangu pia, nafs yangu juu yako ishapotea, nashndwa jitetea, ka ultoroka pepon uzur uliokuenea. Ujue una nusu ya moyo wangu na nusu iliyobak kwangu yote nakupenda wew. Unajua langu, una mwez wangu, unatembea na roho yangu, c m2 wa madem tena we ndo michelle obama wangu. We ndo kiboko yangu.
Yamenitoka tuuu
AmenMungu azidi kuniwekea tu sakayo wangu
chid benzKalapina au..
Haya ni maneno ya kumpulizia tu mpenzi wako.. ukiwa na mwali wako we hata sifa za uongo mpe ila make sure unazitafutia sababu za msingi.......jiangalie, umependa shetani, malaika wazuri hawatoroki peponi. Hurulayn hatoroki Jannat (peponi) tufanye mema tukajitwalie