makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,577
Hapo awali alipoumbwa hawa hakikuwepo, ila mungu akakiweka ila faza adam apate raha duniani, na kumbuka adamu alikuwa katika bustan ya eden moj kati ya bustan za peponi, ila still papuchi ilikuwa muhimu zaidHivi ngoja nikuulizeew...mfanoo kisingelikuwepooo au kitu kipo usoniii ....nipe maono yako
Umebakwaa usiku wewe sio bureee
Umenena vyemaaa.....hivi mapadre huwa hawatumii kweliii??Hapo awali alipoumbwa hawa hakikuwepo, ila mungu akakiweka ila faza adam apate raha duniani, na kumbuka adamu alikuwa katika bustan ya eden moj kati ya bustan za peponi, ila still papuchi ilikuwa muhimu zaid
Mungu ni mwerevu mnoo, werevu wake hauna mipaka, ngumu sana kuweka jambo hilo mahala pa wazi..
Hamna kitu jamaa ni chenga tuu.
morning shemelaMorning wadau
Umenena vyemaaa.....hivi mapadre huwa hawatumii kweliii??
Tena ni la kufulia suti za anko magu.
Shemela hujaachika badoo?morning shemela
Hhmm.. kwa kweli siwez kusemea nyoyo zao, mimi ni muislam nikiongea yawezekana ikaonekana ni shutuma, ila ninachoamin, wao ni binadamu kama sisi, wapo wanaoteleza na kwenda kuosha rungu, penye mia hapakosekani watiifu, inawezekana wakawepo watulivu.., ila tukumbuke wao si malaika ni binadamu kama sisiUmenena vyemaaa.....hivi mapadre huwa hawatumii kweliii??
Watoto walionywewa daw utawajua tuu.. wana nongwa nongwa, kisirani kisirani, gubu gubu...
Halaf wewe sijui ulipatikana kwa mlonge.
Au we ni mtoto wa kuomba chin ya mibuyu
Hhmm.. sijui shetani gani ampitie shunie mpaka atende hv.Kanibaka Shuniee naomba na leo anibakee tenaaa..
Wewe jombaaa si moneytalk umekwepa majukumu
Wanataka vyao, ila sio kesi wape tuu, yasije yakawatoka ya rohoni, huwez jua hali zao kimifuko, maana manyunyu ni kwetu kwa sisimizi ni mafuriko....zile suti huwa zina mikono ya kanzu yaani akitaka kula lazima akunje kama anataka kupigana zile ngumi zenu vijana
Kumekucha Makapuku, asante shululu kwa magazeti, asante wote mlioniamsha na kunikumbusha kuwa mwisho wa mwezi umefika,
Wenye wanaonidai sijawasalimia wahanipa Hi nyingi nyingi
Naskia jamaa ni andunje wa mikono.. mikono yake ni dwarf....zile suti huwa zina mikono ya kanzu yaani akitaka kula lazima akunje kama anataka kupigana zile ngumi zenu vijana
Kumekucha Makapuku, asante shululu kwa magazeti, asante wote mlioniamsha na kunikumbusha kuwa mwisho wa mwezi umefika,
Wenye wanaonidai sijawasalimia wahanipa Hi nyingi nyingi
Sahau sisi kuachanaShemela hujaachika badoo?
Wanataka vyao, ila sio kesi wape tuu, yasije yakawatoka ya rohoni, huwez jua hali zao kimifuko, maana manyunyu ni kwetu kwa sisimizi ni mafuriko.
Binamu...zile suti huwa zina mikono ya kanzu yaani akitaka kula lazima akunje kama anataka kupigana zile ngumi zenu vijana
Kumekucha Makapuku, asante shululu kwa magazeti, asante wote mlioniamsha na kunikumbusha kuwa mwisho wa mwezi umefika,
Wenye wanaonidai sijawasalimia wahanipa Hi nyingi nyingi
Mmmmmh hii ngumu kumezaaHhmm.. kwa kweli siwez kusemea nyoyo zao, mimi ni muislam nikiongea yawezekana ikaonekana ni shutuma, ila ninachoamin, wao ni binadamu kama sisi, wapo wanaoteleza na kwenda kuosha rungu, penye mia hapakosekani watiifu, inawezekana wakawepo watulivu.., ila tukumbuke wao si malaika ni binadamu kama sisi
Ila sidhan kama wanayaweza maana mie naijua shughuli ya huyu mbeba jina la mtu, akichachamaa anataka vyake.. ugwadu ukiwa umejaa kwenye balls, wee patamu hapo.. uchupa si mchezo., mie ndio maana nafanya masihara kote ila sio kwenye kwichi kwichi..
Binamu