Makapuku Forum

TUOMBE*
Tunakushukuru kwa kutufikisha siku hii ya leo. Baba zidi kutupigania, tupiganie katika kazi,biashara,Familia,Maisha na Mahitaji yetu mbalimbali. Tunajitakasa Kwa Damu ya YESU. Tunateketeza,Ng'oa na kuharibu kazi za shetani kwa Moto wa Roho Mtakatifu. Eeh Mungu kumbuka Taifa letu na watu wake, tuongoze kila tutakapo kuwa leo.ponya wagonjwa na wape faraja wafiwa,angalia wajane,wagane,yatima na wenye mapito mbalimbali uwe pamoja nasi siku yaleo Roho Mtakatifu kaa nasi utuongoze, Ni katika Jina la Yesu tunaomba,tukiamini na kushukuru Amina.

SIKU NJEMA FAMILIA ,MUNGU AWABARIKI SANA
 
 
Nawe pia
 
Amen, Asante mama mchungaji kwa neno la uzima
 
 
Ameni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…