Asanteeeee [emoji122] [emoji122]Kwa mmoja sina hofu.. duniani kuna watu bilion 7, wanaume kama bilion 3.. means wanawake wapo zaid ya bilion hawana wa kuwasimamia ukucha.. hapo bado sijatoa mashoga, mahanithi, wagonjwa wa presha, kisukari, ambao wanazid kupunguza idadi ya vidume, sasa ya nin kupagawa wakat wanawake kibao wapo.. acha tu kama si yeye atatokea wa kunipenda, raha ya mahaba upendwe bhana, sio upende wewe uishie kujipendekeza..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fundiii wanguuBabe akee [emoji8][emoji8][emoji8]
Kiboko yake naniii vileee [emoji8][emoji8]Fundiii wanguu
Nimeuliza tu mimi baba d jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yakè leeKiboko yake naniii vileee [emoji8][emoji8]
Bondeni ya south au ya magomeni makaWacha ale tu ndugu yangu.. bondeni hapashindaniwi..
WoooooooozaaaaaaaaaMnapiga show ya kibabe.. mnafanyana sio unamfanya
Raha kutimbana bhana n sio kutimba..
Hakuna jaman kama MamaSi wanasema nani kama mama
Kanda ya ziwa [emoji848][emoji848]Alafu kama hao kutana wa kanda ya majiii ileee etii maji [emoji23] [emoji23] kanda ya ziwaa
Show inakuwa shooo
[emoji120] [emoji120]Nimependa ulivyo niita..
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda wewe tuuuuYakè lee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja niishie hapa kufukua makaburi naweza kukufwa nawasalimia tu mimi jaman
Mama jj mwenyewe mama wa watoto pacha wa insta mambo yako shemela wangu shululu ni vipi anaendeleaje mwambie nammiss tu[emoji120] [emoji120]
Wametekwa na waume zaoHusna kawaharibu watu.. wamekuwa wadakuz..
Ila husna yuko wapi nimemmis wallah, ukimuona na madame s nikurupushe shemela nmewamis kinoma noma
C ndo hapo shemelaBaeleze.. sasa usipokula vya shemej yako ukale vya nani wajameni..
Binadamu wabay..
Usiniambie baba d acha niendelee kukupenda tu mimi [emoji8] ujue nimeshasahau kumpa mama maflower[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimempa mama mchuchu maflower
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na we katekwe jaman mke mwee au hupendi kutekwa na shemela shululuWametekwa na waume zao
Atamtoa wapii sasaMama jj mwenyewe mama wa watoto pacha wa insta mambo yako shemela wangu shululu ni vipi anaendeleaje mwambie nammiss tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akamfate kinyerezi sijui kibahaAtamtoa wapii sasa