Makapuku Forum

Kwavile niko single na vigezo lukuki nilidhan ungenipigia debe Shem?anyway km ipo ipo tu cndio eeeh?
Amen
Luka 10:25-37
ZABURI 91

5.Hutaogopa hofu ya usiku,wala mshale urukao mchana.

6.Wala tauni ipitayo gizani wala uele uharibuo adhuhuri.

MUNGU AWABARIKI USIKU MWEMA...
 
Zaburi 121

1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?

2 Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.

3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye;

4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.

SIKU NJEMA WAPENDWA MUNGU AWABARIKI
 
Nilijuaa utaotaa binamu na mm nilimkanya kabisa ila hakukanyikaa ...ila pole sana japo sijui uoikuwa na kitu cha boxer au uliota hivo hivo ....

Najua utakuwa mashuka ushayapiga foma make nakujuaa
 
Ameeeeniii mama ...asante kwa chakula ya asubhi ubarikiwe mama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…