Sijuii ndo unaamka unakutaaa hamnaa ...chunguliaaa wapiiiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] huonii kitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] embu acha kuniumiza mbavu zangu huko
Shukrani mkuuMuziki: Furahiday ya Watu Wema
.....basi usisikie neno wema ukadhani ni jina Wema, kuna tofauti ya jina na neno hata kama kimantikia na kisemantikia yanafanana. Tofauti ipo tu na kuondoa hii tofauti ndo maana sasa inabidi nikusalimie maana baada ya kumsikiza kiongozi wa kambi ya upinzani hapa nyumbani kwangu, imebidi nirudishe majeshi nyuma maana hizi siasa za unyumba usizichezee hata kidogo.
Hujawahi kugombana na kaka wa mkeo wewe, si huwa wanasema ndugu wa mume wanangenga sana basi jaribu kugombana na kaka wa mkeo na ubavu wako ukawa upande mmoja na kaka yake. Hapo ndo utajua tunaposema period hatumaanishi nukta bali period endelevu na utachora sana hapo chini vinginevyo uwe na akili kama za mjomba wangu mzee nyumba nyingi almaarufu humu kama lee empire .
Muziki sasa, sijalewa japo nipo mitaa ya bakulutu hapa bar ya Magereza naburudika
Hapana me namsaidia tu kupiga debe kwenye kazi yake ulimuona mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lenu moja mxiuuuuu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Kaishakula miuno ya nyau..!!!?
[emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Woyoooooooo mtu na kazi yake [emoji23][emoji23][emoji23]Nakupgia debe
Umbea unaomuhadisia, ndo umemfanya nawe upende kuwa mmbeaJaman [emoji134] hivi naanzaje kumwaribu mume mimi
Sitaki shemeji.. naogopa mimi sijawahi michezo hyo n mama kanikataza kaniambia nimtunzie mke wangu..Nakupgia debe
Mtake radhi shemeji yako ujueUmbea unaomuhadisia, ndo umemfanya nawe upende kuwa mmbea
Bado shem nina 20 jomoniiUnazeeekaa mama ...ubibiii huooo
[emoji12] [emoji3] [emoji3] mashemeji wapate jikoNdo zenu nyie
MfyuuuuuuuuBado shem nina 20 jomonii
Ili mgundue nnWeka picha tuamini kama mnakulana [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12] [emoji3] [emoji3] mashemeji wapate jiko
Mke wako yuko api sasaSitaki shemeji.. naogopa mimi sijawahi michezo hyo n mama kanikataza kaniambia nimtunzie mke wangu..
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Woyoooooooo mtu na kazi yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Binamu unamjuaa unamskiaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu nimevuta picha ya kuchomekea jeans na tshirt
Sijuii ndo unaamka unakutaaa hamnaa ...chunguliaaa wapiiiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] huonii kitu
Ohoooo basi tumuachie MondSitaki shemeji.. naogopa mimi sijawahi michezo hyo n mama kanikataza kaniambia nimtunzie mke wangu..
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Huhuuuu hiyo itakuwa kazi ya chuma ulete sasaSijuii ndo unaamka unakutaaa hamnaa ...chunguliaaa wapiiiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] huonii kitu
Pambana na mito yenuShunie kwa heshima na taadhima, naomba ufute kauli.. unatunyanyapaa masingle