Makapuku Forum

Dah aisee habari yenu bana makapuku ,kitambo sijaingia humu ,nilikua napita tu ,nina tatizo siwezi ku qoute wiki ya pili sasa na nikiandika comment zaidi ya moja naambiwa data error

Hivyo napita tu kuwasalimu
Pole sana....... Miss you mno, sasa sijui tatizo ni nini mpaka huwezi kuandika post zaidi ya moja, Natumai umefikisha malalamiko ya tatizo lako kwa wahusika na wanalifanyia kazi sasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…