shululu asante sana kwa magazeti.
Asante
BlessedHope kuanzisha furahiday hii kwa sala na nukuu za biblia.
Tuwe na Ijumaa njema Makapuku wote.
,.afu
Tumosa jana umeniita 'mkuu' , nilikuangalia tu, nikajua labda ulikuwa kwenye promotion ya bia mpya. Iwe na furahiday njema