Binamu obe nilisahau jamani nilimpa mama mchuchu salaam zako ulizoniamba umenunua Samsung galaxy anasema mnunulie na yeye
Mfyuuuuuu hizo mkule wenyewejumapili njoo mtembelee binamu yako ntakupikia njugu mawe na kashataaa usosomolee
Mdau, mbona humu kumechangamka sana! wewe tu ndo unapotea ila hakuna kilichobadilika hata kidogo, well, kuna leo Hstoria na Jimena aliyemshikia Mussolin5 ndo imepumzika kidogo lakini unajua siku hizi kuna muziki+, yeah, Transcend anaweka muziki laini mara kibao na chakula cha fikra, then shululu anapandisha muziki pale yangu ikiscratch.
SHIMBA YA BUYENZE na falsafa zitakuja maana aliahidi, BlessedHope kajipumzisha kigamboni simu yake ni tecno new model, Bitoz mbuzi zake anafugia mjini, zimetaifishwa atakuja tu.
Anko wangu lee empire hadithi yake iliisha na kuna nyingine ikaanza (hii sikuisoma maana ile ya kwanza iliniacha in suspense), husna muba mpendwa wangu mapicha na hadithi kama kawa. Aunty yangu Shunie sala zinaendelezwa akishirikiana na dumejeuri
Hujamuona nani maana Tumosa yupo, wale mapacha wanazidi kukua vizuri, Sakayo yupo japo zile morning fancy pictured quotes haziweki, Clkey yupo, mzeewakungoa yupo akitaniana na babu yake, Tetramelyz yupo anadai namfitinisha, Mkushi wa kusi kama kawa, yupo, Madame S kaibiwa simu nadhani maana kuna kitu tunakikosa.
Nyagei mtaasisi mwenzangu yupo na mambo ya soka, Mndali ndanyelakakomu karejea majukumu yamepungua.
Nani hujamuona? Bailly5 yupo, eden kimario kila asubuhi anakuja
Haha hahaaaa asante anti yangu we kweli unanipenda yaani haujawahi kuniangusha kabisaa
Mwambie asijali mpendwa wangu akikubali nitamnunulia tu
Mpenzi hiyo imekatika
Kumbeeee haya kuleniiikwetu bangi ni mboga
Binamu hapo kwenye hizo mambo za side chick ndio umeharibu na mambo ya kupewa hela upeleke huko umeharibu salaam sipeleki mama mchuchu akija utamwambiqAsante kwa kufikisha salamu zangu kwake,
Hukumwambia kuwa hela ya kununulia nilimuibia anko wangu? Je, hana tatizo nikiiba tena hela za anko wangu nikamnunulia?
Muulize tu kwa nia njema maana kama anakubaliana na hilo, mimi siku mjomba akinipa hela nipeleke kwa side chick(sio main chick wimbo unaopendwa na aunty yangu wewe na Tetramelyz anasema sauti ya Maua na sura ni tofauti😀) basi nifanye mchakato, nifikishe nusu , nusu nimnunulie simu
...nyma kwa nyama ndo tamu, tena ukipata yenye nundu ndo utajua nyama nyama woiiiiii
We unahic mm wa wapi kwani
Ndio uache kutoroka thaathaaHahaaaa nakukubali kwa uandishi aiseee, Basi mm ndo mtoro
Mpendwa Wa Mimi huyooObe ktk ubora wake
Mbona me nimeona
Humu bwana ukiwepo sawa usipokuwepo sawa na mambo yanaendelea kama kawaida
Kwahiyo na wewe hujaona