Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mambo hayo toka jana usiku binamu kafanya sherehe kabisa kwa kuwekwa kwa avatar
Sent using Jamii Forums mobile app

Mambo hayo toka jana usiku binamu kafanya sherehe kabisa kwa kuwekwa kwa avatar
Sent using Jamii Forums mobile app

Nzuri

Kwani unaharisha mkuu?!
Hivi umeanza lini ubishi baba d jana nilikua nawekewa viGIF tu binamu vya kunicheka vya nyau na vingine vya kuwashwa eti
Sent using Jamii Forums mobile app

Utasubiri sanaNa husna alivo na gundu akimuweka mtu avatar wikii ijayo washaachana

Baba D wewe jamaan umenikumbusha kwenye uzi wa shedede maserati kamuuliza shedede si kuna mdada humu mpaka avatar mlibadilishana ilikuaje tena
Sent using Jamii Forums mobile app

Hee
Cheusi mangalaa

Unaogopa we?!