Sorry wife kama nimekosea kutoa siri
Mkuu ni kweli mm na cheupe wangu tumekutana jf ila mpaka sasa nina familia nae ...japo maisha yetu ya kf hatuwez kuyaacha make ndo yalitukutanisha ....kila mtu anakuja kwenye maisha ya mtu kwa sababu ...shunie ni familia moja na mm ...mengi yanakuja na mtayajua
Inshort hatupendi kuwa mbali na maisha tuliyozoea hapa kapuku...
Utani ni sehemu ya maisha yetu...
Soon naingia home
Ukimaliza kusoma naifuta