Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ila wewe ....hivi ukijitutumua huwez kunirushiaa kofii
Labda [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] kichwani kuwe na zile mambo halaf uniuzi sana mana huwa nikiwa na hasira najua nilivyo
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Baadae wakuu

Naingia mtaani kuuza kashata ila wee binamu jiangalie sana iko siku nitakung'ota makonzi ya ugoko ohooo....
 
Labda [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] kichwani kuwe na zile mambo halaf uniuzi sana mana huwa nikiwa na hasira najua nilivyo
Alafu mm unanijua lazima nisubirie uwe sawa
 
Back
Top Bottom