Upendo huvumilia, hufadhili, upendo hauhusudu upendo hautakabari, haujivunii
Haukosi kuwa na adabu hautafuti mambo yake hauoni uchungu, hauhesabu mabaya
Haufurahii udhalimu bali hufurahi pamoja na ukweli
Huvumilia yote huamini yote hutumaini yote hustahimili yote
Upendo haupungui neno wakati wowote Bali ukiwapo unabii utabatilika zikiwapo lugha zitakoma yakiwapo maarifa yatabatilika
WAKORINTHO 13:4-8
MUWE NA ASUBUHI NJEMA JAMANI MBARIKIWE SANA