Kweli jeuri humpumbaza mwenye hekima na rushwa huuharibu ufahamu
Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi
Usifanye haraka kukasirika mana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu
MITHALI 7:7-9
MUWE NA JUMAPILI NJEMA JAMANI MBARIKIWE SANA