Nzuri kabisa shemeji, ila watu wanaumizwa sana aiseeNjema shemeji za majukumu ya hapo penye bomoa bomoa
AmenKwa kuwa Bwana huwapa watu hekima kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu
Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu
MITHALI 2:6-7
MUWE NA USIKU MWEMA JAMANI DAMU YA YESU IZIDI KUWALINDA
Binamu obee anko wako ananijua vizuri sana ujue ndio mana hana presha na ananiaminiAnko lee empire nakusalimia tu ama baada ya salamu endelea kupuuzia masuala ya msingi, ndo ndo ndo si chululu wanasemaga
Nchi ya kigeniii wapiiiii nipo kwa anko magu tunaisoma wote noDuh, pole, aunty nadhani uko nchi ya kigeni ndo maana clip haipatikani
Jamaan mbona haidownlodikNgoja nimburudishe aunty yangu baada ya clip niliyoweka kutocheza kwake
Hahahahaa, nayeye anaogopa vitu visivyo julikana kwani??*WAHENGA WAMEPATA SABABU ZA KULALA NJE*
To my wife
*Samahani sana kila nikitoa mguu hapo nje ya ofisi nakuta Nissan nyeupe imepaki. Hvyo leo nalala ofisini*.
Mimi mumeo
Mke: Nakuelewa mume wangu hata hapa ofisini kwetu kwa nje naona nissan nyeupe, nimebaki na boss tu sisi pia tunaogopa kutoka nadhani tutalala ofisini pia.
Mume: nakupitia sasa hivi mke wangu lazima tuwe majasiri tukiwaendekeza hawa watu wasiojulikana hawataicha ndoa salama.
kama namuona binamu obeeeeee
Hahahahaaaaaaaaaa, tangu KF ianzishwe sijapata kuona MNAA kama wewe..!!Anko lee empire nakusalimia tu ama baada ya salamu endelea kupuuzia masuala ya msingi, ndo ndo ndo si chululu wanasemaga
HalleluuuuuyaaaaaaaaKwa kuwa Bwana huwapa watu hekima kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu
Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu
MITHALI 2:6-7
MUWE NA USIKU MWEMA JAMANI DAMU YA YESU IZIDI KUWALINDA
Nimeiweka kwa KF wote, maana ile ya Obe iligoma kufunguka kwako shemela, nikaona nikupoze machunguSanteeee shemela umemuwekea nanii huyo nyimbo
Embu nitolee jau huko, mi nakupa habari njema wewe badala unipongeze unanipa pole.Poleee jamaan tetra
Binamu imekubali jamaan ndio nyimbo ganiNgoja nimburudishe aunty yangu baada ya clip niliyoweka kutocheza kwake
AmeeeenHalleluuuuuyaaaaaaaa
Binamu obe anaogopa naye vitu visivyojulikanaHahahahaa, nayeye anaogopa vitu visivyo julikana kwani??
Asanteee shemela wangu nahisi net ilikuwa inasumbuaNimeiweka kwa KF wote, maana ile ya Obe iligoma kufunguka kwako shemela, nikaona nikupoze machungu
Habari njema ipiii ya kupenda kopa na macho mawili auEmbu nitolee jau huko, mi nakupa habari njema wewe badala unipongeze unanipa pole.
Kwenda huko