Makapuku Forum

Asante sana Shunie kwa magazeti na zaidi kwa kunifanya mdhamini leo hiiπŸ™‚

Namna nilivyofurahi furahiday hii nitamtafuta anko lee empire tugonge bia ya serikali kwa niaba yako, wewe si hunywi bhana.

Halafu mzeewakungoa tutamkalia kikao kama kamati maana naona anamshawishi shedede alete mambo ya sumbawanga πŸ˜€πŸ˜€

Mwifwa na mkubhi wamepita kwa mbali na asante eden kimario mwanachelesea mwenzangu kwa kuweka wazi kuwa KF haishindani na yeyote, haina sababu ya kufanya hivyo na ndiyo maana Tumosa na shululu wanafurahia kuwa hapa na mapacha wao.

Japo wamejipumzisha kidogo, lakini tunajua kabisa Jimena , Bitoz , werrason , BlessedHope ambaye ninammiss sana watarudi na nguvu mpya, mapumziko muhimu.

Yeah, mapumziko muhimu ndo maana Sakayo wa Transcend alipopumzika tuliendelea kupiga muziki na kufurahia na ndo penzi langu na husna muba limetamalaki, EMMYGUY akiwa Mwanza akila sato wa kubanikwa

Hakuna ubaya , KF imesheheni vipaji na vipawa utashangaa Mkushi wa kusi akismile hata kama tarehe za mshahara hatujui zitakaribia lini, dumejeuri akitupatia maneno ya kwenye Bible.

Madame S mapicha na story tutayapata tu.
Na ujue Nini, Kapuku Forum ni nzuri kwa sababu kila mmoja yupo hapa
 
Binamu obe nakuona ujue unaanza hata kama sinywi nitakuepo pembeni ya baba d eti binamu naruhusiwa kuchagua nyimbo sasa hivi
 
Sana obe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…