Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524] Ee Mungu wangu nalia mchana lakini hujibu na wakati wa usiku lakini sipati raha

Na wewe u mtakatifu uketiye juu ya sifa za Israel

Baba zetu walikutumaini wewe walitumaini na wewe ukawaokoa

Walikulilia wewe wakaokoka walikutumaini wasiaibike [emoji524]

ZABURI 22:2-5

MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU MBARIKIWE SANA [emoji7] [emoji120]
Amen, Asante kwa neno la uzima
 
Back
Top Bottom